close

Uholanzi

Kuanza darasa la watoto kusherehekea sherehe za miaka mia mbili
Kipindi hiki muhimu kiliwashawishi jamii ya Zwolle, Netherlands, kufungua darasa kwa ajili ya elimu ya kiroho na ya maadili ya watoto. Kwa kustahili, darasa lao la kwanza lilifanyika kusherehekea sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bab. Darasa lilikuwa na ratiba ya kutafakari, majadiliano kuhusu Mafundisho ya Bab, na ratiba ya sanaa pamoja na uonyeshaji wa filamu ya Alfajiri ya Mwanga ikifuatiwa na tafakari na wazazi kuhusu umuhimu wa filamu.