close

Uswisi

Hadithi ya Báb ikisimuliwa kwenye filamu fupi
Filamu hii fupi husimulia hadithi ya maisha ya Báb kama ilivyosimuliwa na kundi la vijana chipukizi kutoka Uswizi. Kundi hilo liliandika na kusimulia hadithi hiyo katika muumbo wa maonesho ya Kamishibai, muumbo wa maigizo ya mitaani na usimuliaji kutoka Japan.