close

Argentina

Kudumisha mahusiano ya urafiki kwa watoto
Huko San Luis, Argentina, jamii iliomba usaidizi katika kipindi hiki cha sherehe za miaka mia mbili kukutana na majirani zao na kuwakaribisha kuungana katika shughuli za kujenga jamii zilizokuwa wazi kwa kila mtu. Kama moja ya sehemu ya jitihadi hizi, kikundi hiki cha watoto kinajifunza juu ya kufanya urafiki kupitia kutengeneza sanaa pamoja.