Wanafunzi huko Zambia wakisimulia hadithi ya Báb kupitia nyimbo Wanafunzi kwenye shule iliyohamasishwa na mafundisho ya Kibahá’í Shule ya Sekondari ya Banani huko Chisamba, Zambia, wanajiandaa kwa ajili ya sherehe ya miaka mia mbili kwa kuandaa wimbo kuhusu historia na maisha na dhima ya Báb.