close

Kiribati

Kikosi cha wasafiri chainua ufahamu wa sherehe za miaka mia mbili kupitia dansi
Ili kuzidi kuinua ufahamu kuhusu sherehe za miaka mia mbili, kikosi cha dansi huko Tarawa ya kusini, Kiribati, kilifanya mfululizo wa maonyesho ya nje pembezoni mwa barabara kubwa ya kisiwani, wakivutia hadhira yenye furaha katika kila kituo. Kupitia misemo, muziki na dansi, kikosi kilisimulia hadithi ya maisha ya Bab na dhima Yake.