close

Ujerumani

Umoja katika anuwai ulionyeshwa katika tamasha la dini mbali mbali
Huko Leiman, Ujerumani, Jamii ya Wabahai waliadhimisha sherehe za miaka mia mbili kwa kuandaa tamasha la kwanza katika mji huo la dini mbali mbali. Wakitafakari mada ya tamasha ya umoja katika anuwai, maonyesho yalihusisha wanamuziki kutoka imani tofauti, mpangilio wa vyombo vya muziki, na kwaya iliyopangiliwa vizuri.