Tamasha mahiri la sanaa huko Hyderabad, Pakistani Tamasha lililochukua siku nzima lilifanyika Hyderabad, Pakistani, ambapo kikundi cha vijana na wazazi wao walitengeneza kazi mbali mbali za sanaa zikionyesha upendo na ushirikiano uliofundishwa na Bab.