close

Bolivia

Jamii yenye shauku yaelezea furaha yao
Jamii za pande ya Bolivia zimekuwa zikusubiri kwa hamu kufika kwa sherehe za miaka mia mbili kwa kupitia sherehe mahiri na mikusanyiko, kujifunza maandiko ya Kibahai, na kutafakari matukio ya kihistoria inayozunguka misheni ya Bab karne mbili zilizopita.