close

Muungano wa Emirate za Kiarabu

Maonyesho ya miaka mia mbili Dubai
Kikundi huko Dubai, United Arab Emirates, ambacho mara kwa mara kimekuwa kikutana kuchunguza jinsi ya kuweka misingi ya kiroho katika maisha yao, waliamua kuandaa maonyesho ambapo wageni wangejifunza juu ya maisha ya Bab.