close

Muungano wa Madola ya Amerika

Michoro ya rangi ya maji ya Sehemu Takatifu za Kibahá’í
Msanii kutoka Cedarburg, Marekani, alichora picha kadhaa za rangi ya maji zinazoonyesha Sehemu Takatifu za Kibahá’í zinazohusishwa na Báb na Bahá’u’lláh huko maeneo ya Akká/Haifa.