close

India

Vijana wakumbuka mashujaa wa awali
Katika kipindi cha jioni kadhaa, vijana wa Chandigarh India, waliandaa na kufanya maonesho ya ushujaa na dhabihu za waumini wa mwanzo wa Báb. Washiriki walisoma kuhusu Mullá Husayn, ambaye alikuwa mfuasi wa kwanza wa Báb, na shujaa wa milele Táhirih, miongoni mwa wengine.