close

Timor-Leste

Vijana na watoto washerehekea huko Dili
Vijana na watoto walikusanyika kwa roho ya furaha kusherehekea sherehe za miaka mia mbili. Shughuli ya sanaa iliyoandaliwa ilionyesha hadithi ya utotoni ya Bab.