close

Laos

Vijana na watoto huko Laos waadhimisha sherehe za miaka mia mbili
Vijana na watoto katika jumuia ya Kibahai ya Vientiane, Laos, walisherehekea kupitia maonyesho ya muziki na hadithi juu ya maisha ya Bab.