close

Mexico

Vijana wakipendezesha mazingira
Kundi la vijana huko Mexico, wakipata uvuvio kutoka kwenye maandiko ya Kibahá’í wanasafisha ujirani wao na kupanda miti kwa maandalizi ya sherehe za miaka mia mbili.