Vijana wa Morocco wanasoma kuhusu kusudi la maisha Katika shughuli za kuelekea kwenye sherehe ya miaka mia mbili, vijana wa Morocco waandaa filamu fupi kuhusu uchunguzi wao wa dhana juu ya asili ya wanadamu na kusudi la maisha, wakitumia sanaa na muziki kukuza zaidi uelewa wao.