Wimbo ukichunguza upendo kwa Mungu
Kijana kutoka Puka Puka, Bolivia, aliandika wimbo huu, "Upendo wa Kweli" katika kuadhimisha sherehe ya miaka mia mbili. Tangazo la upendo kwa Mungu, mashairi yanaelezea jinsi, katika kumgundua Mpendwa, roho ya mtu inatolewa kutoka gizani hadi kwenye mwanga, kwenye maumivu hadi kwenye utulivu.