Mradi wa kupanda miti wahamasisha maongezi
Wabahai huko Addis Ababa, Ethiopia, walisherehekea kwa kupanda miti ya michungwa katika uwanja wa majirani zao. "Tuliamua", mmoja wa marafiki alielezea, "Itakuwa ni vema kutumia sherehe kuwafahamu majirani zetu"