Kenya

Sherehe kutoka kote ulimwenguni

Hapa chini ni dondoo za sherehe zilizofanyika kuenzi miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Báb kwenye maeneo mbalimbali nchi nzima

Kenya

Wimbo wa Kiluhya ukisimulia hadithi ya Kujitangaza kwa Báb

Kwaya ya Jumuiya ya Menu kutoka Kenya wakiimba wimbo kuhusu usiku ule ambapo Báb alijitangaza kwa mara ya kwanza kwa Mullá Husayn. Kwaya inaimba kwa Kiluhya, lugha asili ya sehemu hii ya Kenya.