Vijana wa ujirani wapendezesha kituo cha mabasi
Vijana wadogo wa Yigo, Guam, walitambua fursa ya kuchangia katika maisha ya kiroho ya kisiwa chao katika kufikia sherehe za miaka mia mbili kwa kukaribisha mikutano ya kila wiki ya sala karibu na kituo cha mabasi ya eneo kabla ya muda wa kuanza shule. Kupendezesha mazingira, vijana walisafisha na kurekebisha kituo cha mabasi cha jirani kwa kufuta michoro ya grafiti na kuipaka rangi tena