Ushairi kutoka Urusi zikikumbusha sherehe za miaka mia mbili
Kitabu cha ushairi, kiitwacho Mawingu, kinachapishwa huko St. Petersburg, Urusi, kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili na kuelezea ushawishi wa maisha ya Bab na mafundisho yake. Kitabu pia kina ushairi wa Tahirih, shujaa aishiye milele wa Imani ya Wababi, ilyotafsiriwa katika lugha ya Kirusi