Vanuatu

In Vanuatu, children share the story of the life of the Báb

On the island of Efate, Vanuatu, children shared the story of the life of the Báb at a community gathering.

Nigeria

Wimbo wasimulia hadithi ya Bab

Wimbo kutoka Nigeria, "Acha kuwe na amani,", unaelezea hadithi ya maisha ya Bab - kutoka kujitangaza Kwake huko Shiraz, hadi kutimizwa kwa ahadi Yake ya kuja kwa Bahaullah.

Uswisi

Hadithi ya Báb ikisimuliwa kwenye filamu fupi

Filamu hii fupi husimulia hadithi ya maisha ya Báb kama ilivyosimuliwa na kundi la vijana chipukizi kutoka Uswizi. Kundi hilo liliandika na kusimulia hadithi hiyo katika muumbo wa maonesho ya Kamishibai, muumbo wa maigizo ya mitaani na usimuliaji kutoka Japan.

Ureno

Bringing the story of the Báb to the public

In Portugal, the Bahá’í community is working to bring the story of the Báb to the public. Whether they walk past a banner hanging from their local Bahá’í centre in Portimão, attend a public talk being offered in their city, or go to their neighborhood café in Lisbon to join a devotional gathering, people are learning more about the Báb and His Teachings. These initiatives are bringing people together as they strive to understand what implications His remarkable life has on their own.

Brazil

Nakala ya gazeti imeleta mwanga katika jitihada za jamii ya Kibahai katika kuchangia kwenye jumuiya

Gazeti kubwa la kila wiki, lilichapisha nakala kuhusu jamii ya Wabahai wa Salvador, Brazil, pamoja na sherehe zijazo za miaka mia mbili. Nakala ilijadili jinsi gani jamii ya Kibahai ianavyolenga kuweka imani zake katika vitendo, ikigusa kanuni kama umoja wa wanadamu na jitihada za sasa za kuchangia katika maendeleo ya jamii yao. Nakala pia ilionyesha sehemu ya jamii katika historia ya Imani, ikielezea kuwasili kwa Martha Root, muumini mashuhuri wa mwanzo wa Kibahai, huko Bahia mwaka 1919.

Zambia

Wanafunzi huko Zambia wakisimulia hadithi ya Báb kupitia nyimbo

Wanafunzi kwenye shule iliyohamasishwa na mafundisho ya Kibahá’í Shule ya Sekondari ya Banani huko Chisamba, Zambia, wanajiandaa kwa ajili ya sherehe ya miaka mia mbili kwa kuandaa wimbo kuhusu historia na maisha na dhima ya Báb.