close

Myanmar

Un cortometraje sobre sueños y esperanzas
Filamu hii fupi, iitwayo Ndoto, inaonyesha kijana kutoka Myanmar ambaye alishiriki matumaini na ndoto zake za ulimwengu ulio ungana. Alielezea jinsi matumaini haya yanaweza kuwa kweli kwa kufungua uwezo wa vijana wadogokuwa wenye kutoa huduma kwa wanadamu na kuchangia kwa ukuaji wa ustaarabu.