Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Albamu ya nyimbo, Les paroles cachées

Albamu hii ilitengenezwa mahsusi kwa ajili ya miaka mia mbili miwili ijayo, mwaka huu na mwaka 2019. Albamu ina nyimbo 20 za Maneno Yaliyofichwa ya Bahá’u’lláh na kifungu kimoja cha Báb, zote katika lugha ya Kifaransa iliyowekwa katika muziki na Lucie Dubé.