Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Dansi ya kiasili ya Japan

Yukiko akimfundisha binti yake Mayu dansi ya kiasili ya Kijapani katika maandalizi ya sherehe zao za miaka mia mbili.