Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Edvard Grieg kipande cha muziki

Kinanda kilichezwa na Dorothy Khadem-Missagh kwenye tukio lililofanyika Bruck mahususi kwa ajili ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.