Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Filamu fupi kutoka kwa Bahá’í wa jamii ya Uingereza kuhusu Bahá’u’lláh na Mafundisho Yake

Filamu iliyotengenezwa na wa-Bahá’í wa Uingereza, wakishirikiana na vijana wadogo kotoka sehemu mbali mbali za Uingereza kwa ajili ya miaka mia mbili.