Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Filamu inayomhusu Bahá’u’lláh. na Mafundisho Yake

Filamu ya kusisimua inayoonesha hali halisi ya dakika kumi iliyotengenezwa na wa-Bahá’í wa Spain kwa mwaka wa kuadhimisha miaka mia mbili.