Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Filamu kuhusu historia ya wa-Bahá’í wa Kazakhstan

Hii video ni trela ya filamu ijayo inayohusu jamii ya ki-Bahá’í itakayooneshwa katika mkusanyiko wa kuadhimisha miaka mia mbili.