Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kaligrafia ya baadhi ya Maandiko ya Ki-Bahá’í

Vipande hivi vilitengenezwa kwa ajili ya maonesho yaliyoonyeshwa Bourg-en-Bresse katika kipindi cha kuadhimisha miaka mia mbili.