Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kaligrafia ya Kiarabu ya Maneno ya Bahá’u’lláh

Kaligrafia ya Kiarabu katika turubai ya kuchorea, ilikua na Maneno yaliyofichwa ya Bahá’u’lláh: هل عرفتم لِمَ خلقناكم من تراب واحد (Tafsiri: Je wajua kwanini tumewaumba wote kwa vumbi moja?)