Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kijana aimba kuhusu kuishi kwa Bahá’u’lláh’ kwa muda mfupi katika milima ya Kurdistan

Kijana mdogo kutoka Sheffield Uingereza aliimba kwa Kiswahili kuhusu kuishi kwa Bahá’u’lláh’ kwa muda mfupi katika milima ya Kurdistan.