Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kikundi cha kwaya cha Botswana

Vikundi vya kwaya vya Mmankgodi, Oodi, Gaborone, Ramotswa na Metsimotlhabe vilikusanyika pamoja wakati wa tamasha la Bahá’í Senta ya Kitaifa kushiriki nyimbo za awali walizotunga kwa ajili ya miaka mia mbili. vikundi vitaonesha nyimbo zao katika sherehe zijazo za vijiji.