Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kitabu cha picha chenye kuhamisisha uhusiano wa Sehemu takatifu za ki-Bahá’í katika mji Mtakatifu

Kitabu cha picha, kiitwacho "Kibla ya Jumuiya ya Dunia", kimechapishwa Brazil katika jitihada za kuonesha uzuri na ubora wa Sehemu Takatifu za ki-Bahá’í.