Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kolaji ya Nyumba ya Ibada ya ki-Bahá’í Santiago, Chile

Msanii wa mtaani kutoka St. Petersburg, Russia, Adelaida Rosh, alitumia vipande vya makaratasi yanayong'aa kutenegeneza kolaji hii katika tukio la kuadhimisha miaka mia mbili ya kuazaliwa kwa Bahá’u’lláh.