Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kuchunguza jinsi sanaa inavyotengeneza maelewano ya kijamii

Kikundi cha vijana wa Jordan walitayarisha maonesho ya kisanii katika eneo zilipofanyika sherehe za miaka mia mbili juu ya dhima ya jinsi gani sanaa ingeweza kuchangia maelewano kati ya dini na jamii.