Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Kwaya ikionesha "Schwinge Dich Auf" katika tamasha la miaka mia mbili

Cantus Carnuntum, kwaya kutoka Bruck an der Leitha, Austria, likionesha "Schwinge Dif Auf" kwa muziki na Bijan Khadem-Missagh katika tamasha la kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.