Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Maandiko ya Bahá’u’lláh yawekwa kwenye muziki

Mwanamuziki wa Canada Jason Bienia, akisindikizwa na Shadi Tolou-Wallace, walitunga nyimbo mbili zilizohamasishwa na Maandiko ya Bahá’u’lláh.