Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Makusanyo ya nyimbo za ki-Arabu kutoka Misri iliyoandaliwa kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili

Wimbo wa kwanza unahusu huduma na kuabudu, wa pili ni sala ikiomba "Umba ndani mwangu moyo safi, Ewe Mungu wangu", wa tatu unahusu upendo wa Mungu, na wa-nne unahusu usawa kati ya wanawake na wanaume.