Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Maonesho katika Nyumba ya Ibada

Maonesho ya maisha ya Báb na Bahá’u’lláh yaliwakaribisha wageni walipokua wakiingia katika Nyumba ya Ibada ya Kibahá’í.