Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Maonesho Singapore kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili

Maonesho mapya katika senta ya Wabahá’í huko singapore ilirejesha tena mazingira ya Bustani ya Riḍván.