Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Maonesho ya sanaa ya watoto Lørenskog

Watoto na vijana chipukizi wa Lørenskog, walishiriki sanaa zilizotengenezwa kwa maonesho maalum ya miaka mia mbili.