Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Mazoezi kwa ajili ya maonesho huko Bahia, Brazil

Video hii inaonesha sehemu mbali mbali ambapo washiriki wanasimulia hadithi kutoka kwenye maisha ya Bahá’u’lláh na wakifanya mazoezi ya wimbo uitwao "Ni Siku ya Mungu".