Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Mazoezi kwa ajili ya maonesho Sweden

Eric Francett na Per Danielson wakifanyia mazoezi muziki wa mtunzi kutoka Norway Rolf Lovland kwa ajili ya maonesho yatakayofanywa kwa kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh katika sherehe huko Skeppsholmen, Nacka, and Värmdö.