Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Mazoezi ya kwaya katika Nyumba ya Ibada Santiago, Chile

Mazoezi ya kwaya kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili katika Nyumba ya Ibada ya ki-Baha’i ya Amerika ya Kusini. Maelfu wanatarajia kuhudhuria sherehe.