Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Mchoro wa rangi uitwao "Njia ya Bahji"

Mchoro huu wa rangi za maji kutoka Alaska ulitengenezwa kuadhimisha miaka mia mbili, ikihamasishwa na njia inayoelekea katika Kaburi la Bahá’u’lláh.