Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Michoro ya rangi kusherehekea maisha ya Bahá’u’lláh

Makusanyo tofauti ya kazi sa sanaa, mengine yakionesha vifungu kutoka kutoka katika Maandiko ya Bahá’u’lláh, mengine yalihamasishwa na vipindi muhimu kutoka katika maisha Yake, yanaoneshwa kama mojawapo ya maonesho yakioneshwa katika ukumbi wa kihistoria mjini huko Melbourne, Australia, kwa ajili ya maadhimisho ya miaka mia mbili.