Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Michoro ya rangi ya mlima Carmel

Mfano wa Mlima Carmel, ambao Bahá’u’lláh alitembelea miaka aliyoishi Mji Mtakatifu.