Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

"Mwaka wa Nightingale", albamu ya nyimbo

Albamu mpya ya mwanamuziki wa Kibahá’í Luke Slott na mtayarishaji Kelly Snook ilitengenezwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Nyimbo katika albamu zimetiwa hamasa kutoka Maandiko na Mafundisho ya Bahá’u’lláh.