Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Nakshi za mawe kutoka Durban, Afrika Kusini

Ilitengenezwa kupitia ushirikiano wa wasanii wa mitaani kwa ajili ya miaka 200, meza hii ya nakshi za mawe itaoneshwa katika mipangilio tofauti katika kipindi cha miezi ijayo.