Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Ngoma za kiasili za kitanzi huko Illnois

Wabahá’í wamerekani wa asili wa makabila ya Lakota na Anishnabe walicheza muziki wa asili kwa kutumia vitanzi katika tukio la kuenzi miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh pamoja na Siku ya Watu wa Asili.